Nahitaji king'amuzi aina yoyote kwa haraka sana

Nauza Dstv Yangu na dish nimelipia mwezi mmoja Kifurushi cha Bomba only for 250k

Pm Tumalize bishara
 
Sema model ya receiver na Version ya card utatuvutia wengi...

Mfano kuna watu tunapenda Model DSD 1132 na "version premium" ya card
 
Ni hivi vya muda huu nimenunua mwaka jana..now nipo job bt mpka nikirud nikicheki ntakujuza
 
Back
Top Bottom