She is Aisha
Member
- Jun 1, 2024
- 6
- 5
Habari naitwa Aisha nipo Dar es salaam nahitaji kazi Elimu ni diploma Nasoma Bandari College naendelea bado sijamaliza..
Nina uzoefu wa kazi za hoteli, Sheli, duka, na receptioniat ukweli nahitahlji part time job hata ikiwa tofauti na hizo ni sawaa..Nina uwezo wa kusoma na kufanya kazi
Mawasiliano yangu 0672594811
Nina uzoefu wa kazi za hoteli, Sheli, duka, na receptioniat ukweli nahitahlji part time job hata ikiwa tofauti na hizo ni sawaa..Nina uwezo wa kusoma na kufanya kazi
Mawasiliano yangu 0672594811