Nahitaji kazi yoyote ya halali

Nahitaji kazi yoyote ya halali

Bonny Masih

Senior Member
Joined
Apr 20, 2014
Posts
120
Reaction score
31
Mimi ni kijana mwenye miaka 23 natafuta kazi yoyote ya halali. Elimu yangu ni ya form four pia nina cert&diploma ya sales and marketing,Certificate ya clearing and fowarding, Certificate ya customs care and enterprenuaship, pia nina cheti cha computer application.

Naomba msaada kwa mtu yoyote ataekaeguswa na matatizo yangu akaweza kunisaidia mimi naishi dar es salaam namba yangu ni 0714316116.

Natanguliza shukran kwenu wanajamvi.
 
Safi sana dogo.........mjeshi hachagui msitu!!!
 
Ungekua na mechanical engineering tungezungumza.
Nakushauri tu, usikate tamaa
 
Amin na wewe m/mungu akufanyie hisani ya upendeleo katika shughuli zako ishallahh
Allahuma Amim,
Ok Mkuu jipangee na uweke CV yako kwa utaratibu wake, Haraka ujichukuwe uende ofisi ya Bakhressa na ofisi OIL COM,CAMEL OIL uwakabili wahusika wa HR ajira. InshaAllah mambo yako yatanyoka na kuwa mazuri.
 
Allah Akbar
 
Ata ya ulinzi

kwani ulinzi sio kazi mkuu wapo wanaosomesha watoto wao mashule na kulea watoto kwa kazi hiyo ya ulinzi unaonekana hujakua kiakili na kifikra ndo mana unadharau kazi za watu.acha ushamba maisha ni kupenda kile unachofanya sio kuangalia watu wanasema nini.
 
We kijana upeo wako mdogo sana me bnafsi nafanya biashara ya ulinzi na baada ya kuona uitaji wako wa kazi nkahamua nikuulize ili nijilidhishe kama kweli umefungua moyo lakini na shangaa unaanza kumwaga manyangaapaaaaaa
 
Mkuu, msamehe na umsaidie tu huyu kijana...naona mmepishana kwenye kiswahili tu hapo. Kama nia ipo ya kumsaidia du ze nidful plz

We kijana upeo wako mdogo sana me bnafsi nafanya biashara ya ulinzi na baada ya kuona uitaji wako wa kazi nkahamua nikuulize ili nijilidhishe kama kweli umefungua moyo lakini na shangaa unaanza kumwaga manyangaapaaaaaa
 
Nshamuelewa kijana aliichukulia vibaya kauli yangu usijari tupo pamoja wote vijana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom