Nahitaji kazi ya Udereva

Nahitaji kazi ya Udereva

Mikito Mikito

Senior Member
Joined
Jan 15, 2020
Posts
183
Reaction score
1,093
Naitwa Rajab ni kijana wa miaka 23 naishi Dar es Salaam maeneo ya Tegeta. Nahitaji kazi ya udereva wa gari ndogo kwa sababu nina leseni ya daraja B na D na nina uzoefu wa gari ndogo tu.

Naweza fanya kazi sehemu yoyote mahali popote pale hata kwa kujitolea au kwa makubaliano maalumu.

Asanteni.

0783231177
 
Ukiwa kama dereva ni oil gani ya kwenye engine utatumia kwa gari ya petrol na diesel...?
 
Ukiwa kama dereva ni oil gani ya kwenye engine utatumia kwa gari ya petrol na diesel...?
Sijaelewa swali lako oil zipo za aina nyingi na inategemea wewe mwenyewe kwenye gari unaanza kutumia ipi na ikakupa matokeo mazuri ikafanya kazi nzuri mara nyingi huwa hakuna kubadilisha badilisha ukiona inakufaa unatumia iyo iyo kila unapofanya service
 
Sijaelewa swali lako oil zipo as aina nyingi na inategemea wewe mwenyewe kwenye gari unaanza kutumia ipi na ikakupa matokeo mazuri ikafanya kazi nzuri mara nyingi huwa hakuna kubadilisha badilisha ukiona inakufaa unatumia iyo iyo kila unapofanya service

Simaanishi jina la oil au kampuni gani namaani namba ya oil utatumia namba ngapi kwa gari ya diesel na namba ngapi kwa gari ya petrol...?
 
Simaanishi jina la oil au kampuni gani namaani namba ya oil utatumia namba ngapi kwa gari ya diesel na namba ngapi kwa gari ya petrol...?
inategemea na aina ya gari lkn ss tumezoea 10-40w mpk 15-40w kwa desiel 20-40w mpk 20-50w kwa petrol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom