Nahitaji kazi viwandani

Joined
Dec 15, 2015
Posts
7
Reaction score
5
Nahitaji kazi viwandani Kama Kunamtu nafahamu kiwanda Chochote kilicho dar ambapo naweza kupata Nafasi Kama kibarua anisaidie kunifahamisha Mimi Nipo keko mwanga 0693019398
 
Panda gari za mkuranga shuka mwana mbaya ulizia kiwanda cha wachina kinaitwa bbg ukirudi shuka kisemvule ulizia lodhia group au nenda neel salt ila kama mtoto wa mama endelea kukaa nyumbani
 
Mkuu vipi lakini uhakika kupata hizo ishu huko viwandani? Maana dah hali tete mambo hayaeleweki ngoma ngumu
 
Fafanua
 
Mkuu vibarua unapata ili uwe na uvumilivu maana utadharauliwa utanyanyaswa we nenda katafute mtaji ufanye mambo yako ila unakuwa kibarua kwa siku elfu 15 au 10 na elfu 6 inategemea na kazi na kitengo pia kila la kheri mkuu kuwa makini matapeli wapo kila sehemu
 
Au unaweza pia kuenda external kituo kinachofuata asubuh naona watu nje pale pameandikwa nida textile na external pale kwa mchina kama sijakosea
 
Vipi mkuu je Hadi Sasa naweza kupata kazi huko mkuranga viwandani maana hapa life gumu Sana hapa Moro pwilo [emoji120]
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…