Naona unamrithi yule jamaa josevrstNgoj waje
Nilidhani kuwa lita mfaa,btw tv uloniuzia bado inapiga kazi, nitakuja uniuzie nyengine by Nov.
Nipe details pmLipo mkuu nicheki pm kuna jamaa yuko China huwa anayaingiza nchini humu
Sent From fx.991
Thanks...wao wanaunda au wanaagiza special?Jaribu kuwaona TATEDO wapo kijitonyama nyuma ya chuo cha social pale bamaga
Sent using Jamii Forums mobile app
Kariakoo sehem gani mkuu...maana jana nimezunguka kule mitaa ya swahili na uhuru lakini sikufanikiwa,na kila niliemuonesha picha alionekana kuliona kwa mara ya kwanza.
Hiyo ukiitazama vizuri iko na blocks(mawe) maalumu ambayo yanatumika kama mikaa ya kawaida...Nyama ikichomwa na mkaa ndo mwake, hata wazungu wenyewe hutumia majiko ya matofali na mkaa au chuma na mkaa.
Shiling ngapi la ivyo