Nahitaji jiko la gesi la kuchomea nyama

Nahitaji jiko la gesi la kuchomea nyama

Mkalibari

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
659
Reaction score
400
Naomba mtu anaefahamu wapi naweza kupata jiko la namna hii hapa Dar es salaam anijuze...

Jiko hili linatumia gas nq lina mawe maalumu yanayokaa mpaka miaka5.
IMG-20170804-WA0004.jpg
IMG-20170804-WA0003.jpg
IMG-20170804-WA0005.jpg
IMG-20170804-WA0006.jpg


Nimejaribu kuulizia lakini nimekosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lipo mkuu nicheki pm kuna jamaa yuko China huwa anayaingiza nchini humu

Sent From fx.991
 
Nyama ikichomwa na mkaa ndo mwake, hata wazungu wenyewe hutumia majiko ya matofali na mkaa au chuma na mkaa.
 
Back
Top Bottom