Nahitaji iphone 6 iliyochoka

mimi mnyeti

Member
Joined
Dec 21, 2017
Posts
55
Reaction score
82
Kwa yeyote anayeuza iphone 6, 7 yake yenye tatizo au kama imechoka anicheki. Ilimradi isiwe imekuwa locked.

I mean kuu kuu.. au kama ina tatizo lolote halafu aitengenezeki mbali na kuwa locked kwenye icloud tafadhali nicheki

Namba ni 0716144164
 
Sawa watakuja mkuu
 
mimi nina iphone 6 ya 64gb imekufa touch sensor alaf kuna siku ili isha charge ikagoma kuwaka tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…