malela.nc JF-Expert Member Nov 24, 2013 250 338 Apr 29, 2016 #1 Habari wakuu. Mwenye Iphone 5 iliyofungwa na icloud nahitaji. Ni pm kwa biashara
babumapunda JF-Expert Member Dec 21, 2012 4,643 3,299 Apr 29, 2016 #2 una shs ngapi,,au ni pm fastaaaaa
prospilla JF-Expert Member Mar 31, 2015 1,137 1,682 Apr 29, 2016 #3 Ipo iphone six hapa mkuu Imefungwa na icloude
Mibas JF-Expert Member Apr 3, 2012 4,192 6,360 Apr 29, 2016 #6 Ipo iPhone 6Plus njoo tufanye biashara
Einsten JF-Expert Member Mar 15, 2013 921 790 Apr 29, 2016 #7 malela.nc said: Habari wakuu. Mwenye Iphone 5 iliyofungwa na icloud nahitaji. Ni pm kwa biashara Click to expand... IPhone 5 ipo bei ni 400,000 IPhone 6 bei ni 900,000
malela.nc said: Habari wakuu. Mwenye Iphone 5 iliyofungwa na icloud nahitaji. Ni pm kwa biashara Click to expand... IPhone 5 ipo bei ni 400,000 IPhone 6 bei ni 900,000
Sexer JF-Expert Member Oct 22, 2014 8,377 8,075 Apr 30, 2016 #9 Einsten said: IPhone 5 ipo bei ni 400,000 IPhone 6 bei ni 900,000 Click to expand... 6+?
Einsten JF-Expert Member Mar 15, 2013 921 790 Apr 30, 2016 #10 Sexer said: 6+? Click to expand... 6+ sina