mkuu nakushauri uendelee kusave zaidi upate kitu kipya na chenye warranty ya miaka 2 istor/.maduka ya uhakika...kua mvumilivu kidogo...Husika na heading hapo juu.
Kwa sasa nimejipanga na laki 900,000 ila iwe ndani ya box na fully accessories zake.
Kama used ni sawa ila iwe katika hali nzuri.
Pia iwe genuine, kwa kuwa nina uzoefu nazo ili halitanipa shida kutambua.
Kwa serious seller, nitafute kupitia PM.
Husika na heading hapo juu.
Kwa sasa nimejipanga na laki 900,000 ila iwe ndani ya box na fully accessories zake.
Kama used ni sawa ila iwe katika hali nzuri.
Pia iwe genuine, kwa kuwa nina uzoefu nazo ili halitanipa shida kutambua.
Kwa serious seller, nitafute kupitia PM.
Mkuu nipo na galaxy not3 kama utaipenda nicheki 0716719917