Nahitaji internal DVD writer ((Ide) ya desktop

Nahitaji internal DVD writer ((Ide) ya desktop

TMAN8

Senior Member
Joined
May 25, 2012
Posts
165
Reaction score
41
kama unayo unauza au kama unaMjua mshikaji anayeuza kwa bei ya mkononi, iwe mpya ama used iliyo katika hali nzuri, nicheck kwa 0715841111. Asanteni.
 
mie nataka nikupe sehemu ya kwenda upate mpya kwa bei nafuu nenda RAAM computers vtu vyao bei poa mtu wangu. Kariakoo.
 
sawa kaka, wako sehemu gani hasa hapo kariakoo?
 
Back
Top Bottom