Mb-one JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 885 Reaction score 1,297 Jan 29, 2013 #1 wakuu nahitaji huduma ya printing ya banner kwa affordable price,banner yenyewe iwe na ukubwa wa 260*343,ni coloured ,na iwe na material mazuri,mwenyewe huduma hii naomba ani PM
wakuu nahitaji huduma ya printing ya banner kwa affordable price,banner yenyewe iwe na ukubwa wa 260*343,ni coloured ,na iwe na material mazuri,mwenyewe huduma hii naomba ani PM
jumbenylon Senior Member Joined Jun 12, 2011 Posts 115 Reaction score 10 Jul 1, 2013 #2 nichek kwenye 0714021078 Malaika Media
M mtanzania2013 Member Joined Jun 28, 2013 Posts 63 Reaction score 1 Jul 2, 2013 #3 0786786072....samsung printing and solutions. Jamaa ana bei nzuri na quality fresh utapenda .. Anatoa uhakika kama haujapenda kazi yake hachukui hela. Jamaa freahi sana Tatizo haongei kisawhili sana . Kingereza anajua. Kuna jamaa yake anaitwa thomas yeye anajua kiswahili
0786786072....samsung printing and solutions. Jamaa ana bei nzuri na quality fresh utapenda .. Anatoa uhakika kama haujapenda kazi yake hachukui hela. Jamaa freahi sana Tatizo haongei kisawhili sana . Kingereza anajua. Kuna jamaa yake anaitwa thomas yeye anajua kiswahili
M Misterdennis JF-Expert Member Joined Jun 4, 2007 Posts 1,741 Reaction score 482 Jul 3, 2013 #4 Try this guy as well: 0788 112 233 Their quality is excellent!