ChickMagnet
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 2,702
- 3,553
Natafuta huawei p6. Acha mawasiliano yako hapa ama ni pm tuzungumze! Iwe mpya au kama used iwe kwenye hali nzuri ... Nipo Dar
KAMA UNGEKUWA UNATAKA P7, G750, G630 AU G526 ingewezekana
Au hata mwenye s4 pia itafaa
KAMA UNGEKUWA UNATAKA P7, G750, G630 AU G526 ingewezekana
Natafuta huawei p6. Acha mawasiliano yako hapa ama ni pm tuzungumze! Iwe mpya au kama used iwe kwenye hali nzuri ... Nipo Dar
mkuu mimi ni p6.kama haujapata niambie utatoa bei gani