tata mvoni
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 534
- 81
habari wakuu naomba mwenye simu tajwa hapo juu ani-pm bei na namba yake ya simu mie ntampigia.IWE IMETUMIKA AU MPYA
habari wakuu naomba mwenye simu tajwa hapo juu ani-pm bei na namba yake ya simu mie ntampigia.IWE IMETUMIKA AU MPYA
Njooo duka la tigo buguruni zipo laki na 95 mpyaaaaaaaaa
Si zilishakwisha au ni tiGO shops zingine??
Ziliisha sema wameleta tena
Ziliisha sema wameleta tena