Habari wakuu....
Nahitaji godoro liwe 5*6 kuanzia inch 8 na kuendelea.
Mahali linapohitajika:Unguja Zanzibar
Bajeti Iko vizuri wewe taja bei kulingana na ubora.
Air cooler inayotakiwa ni Orient 30L
Au DSP 5L
Air cooler mattress DSP 5L /Orient 30L?
Sijawahi liona/Lisikia, naomba uweke Picha yake hapa tupate pa kuanzia kwani nimecheki hapa sokoni Quanzou na sijaliona