Habari zenu wadau!
Nina Tshs milion 6 naweza pata wapi gari yenye economy ya mafuta.
Kuna Mistubish Pajero Min, 7m. Iliingia mjini mwezi wa 8. Nipenaba yako uione! Na GX 100 ya silver in best condition kwa 7.5mNipo dar mkuu.
Sasa mbona hata PM haujibu? Nijibu kwa kunirushia specification za hiyo starlet including picskamanda Pm kuna starlet hapa mpya kwa hiyo bajeti unachukua Pm namba nikurushie pic kwa whatsup
Spacio inahitaji mil.6