Nahitaji Gari

Mimi nna jamaa yng anauza nadia mpya kabisa injini ni 4s.. nyeupe! Bei mil 9 ila maongez yapo. 4 more info,pm me! !
 
kama bado hujapata hilo gari nipm
mm ninaagiza magari toka japan hivyo twaweza fanya biashra nikakuagizia gari na kuleta mpaka bandarini kisha wewe ukaja kulichukua hila lazima utalipia charge zate za TRA, CHARGE ZA BANDARINI BIMA, IMPORT AGENCY na mengineyo hebu cheki gari aina ya toyota corolla sedan hili hapa la 1500cc



 
Gari hiyo hapo bei nzuri 6.5m
 

Attachments

  • 1392645576853.jpg
    72.2 KB · Views: 158
  • 1392645618025.jpg
    59.1 KB · Views: 145

Mkuu imekaa vyema kweli thats great, Nimshapata mkuu na nimeshalipia! nashukuru sana!
 

Kama hii ngapi unaanzia?
 
Mimi nna jamaa yng anauza nadia mpya kabisa injini ni 4s.. nyeupe! Bei mil 9 ila maongez yapo. 4 more info,pm me! !

Asante mkuu ila nimeshapata niliyoliwa naitaka!

Barikiwa
 
mkuu nilikutumia sample za picha ya toyota sedan naona hujanijibu
au ulishapata pengine
 
mkuu nilikutumia sample za picha ya toyota sedan naona hujanijibu
au ulishapata pengine

Mkuu asante sana kwa msaada wako, samahani kuwamba sikujibu mapema, Ni kuwa tayari nimeshapata nashukuru sana nasuburi lipande meli tr 12.03
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…