Nahitaji Gari

Nahitaji Gari

Goodrich

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
2,091
Reaction score
1,179
Kama unauza gari aina ya Rav 4, 3doors, GA, isizidi 100,000km, Dar es Salaam tuwasiliane.
Bei isizidi 8M.
 
Mimi ninayo Toyota Cresta year 2001, Km 77,000,Imengia Hapa Tz tarehe 10/8/12 toka Japan. Ni nzuri sana wasiliana nami Kwa namba 0784 753283.
 
Poa, nashukuru kwa taarifa Mkuu.

Endapo ingekuwa ni hiyo niliyotaja, SWIFT, IST au Toyota Allion tungefika muafaka.
 
Ipo 3doors posta mpya DAR,bei 8ml,nicheck 0764 468 469,dalali hahitajiki katika hili.
 
Hivi nikihitaji five doors ya early 2000s with not more than 100000kms na ambayo haijatumika hapa Tz but imetumika lets say Japan bei yake ni sh ngapi?
 
Hivi nikihitaji five doors ya early 2000s with not more than 100000kms na ambayo haijatumika hapa Tz but imetumika lets say Japan bei yake ni sh ngapi?

the price will range from TSHS12,000,000.00 to TSHS14,000,000.00...
 
mimi namjua mmja anauza range rover v8 discovery
kama hii hapa hivi hivi na rangi 12,000,000/=haipungui hapo
images
 
nyie mnataka magari yasiyozidi km 100000 ina maana hao wanaouza wanauza vimeo how can u have the car for a year with less than a one hundred thousand km? kidogo nakosa imani na pia uzuri wa gari sio km chache ni matunzo
 
Back
Top Bottom