Inawezekana au isiwezekane, ikawa ni mtazamo wako tu, maana sidhani kama ni kiswahili sahihi kusema gari la kutembelea, maana binadamu tunatumia miguu kutembea, kwahiyo miguu hutumika kutembelea, ingekua sahihi kama angalisema, nahitaji kupata chombo binafsi cha usafiri, au gari kwaajili ya usafiri binafsi.