Z zipumbovu Member Joined Nov 27, 2023 Posts 24 Reaction score 392 Feb 28, 2025 #1 Habari wakuu Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10 Aina ya gari Nissan dualis Rumion Crown Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara
Habari wakuu Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10 Aina ya gari Nissan dualis Rumion Crown Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara
Chance ndoto JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 4,618 Reaction score 10,789 Feb 28, 2025 #2 Ukifika 11 nitafute nikupe dv Nipo dar es salaam. Sinza.
Al-mukheef JF-Expert Member Joined Feb 2, 2025 Posts 6,991 Reaction score 7,245 Feb 28, 2025 #3 zipumbovu said: Habari wakuu Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10 Aina ya gari Nissan dualis Rumion Crown Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara Click to expand... Samahan mkuu gari ya mkononi ndo inakuwaje Au ndo kama simu ya mkononi
zipumbovu said: Habari wakuu Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10 Aina ya gari Nissan dualis Rumion Crown Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara Click to expand... Samahan mkuu gari ya mkononi ndo inakuwaje Au ndo kama simu ya mkononi
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 14,926 Reaction score 20,974 Feb 28, 2025 #4 Al-mukheef said: Samahan mkuu gari ya mkononi ndo inakuwaje Au ndo kama simu ya mkononi Click to expand... Anataka kumvua mtu, au hata kuvua hauelewi mpaka kamusi?
Al-mukheef said: Samahan mkuu gari ya mkononi ndo inakuwaje Au ndo kama simu ya mkononi Click to expand... Anataka kumvua mtu, au hata kuvua hauelewi mpaka kamusi?
Al-mukheef JF-Expert Member Joined Feb 2, 2025 Posts 6,991 Reaction score 7,245 Feb 28, 2025 #5 Sakasaka Mao said: Anataka kumvua mtu, au hata kuvua hauelewi mpaka kamusi? Click to expand... Kuvua ninakojua mimi ni samaki na nguo tu
Sakasaka Mao said: Anataka kumvua mtu, au hata kuvua hauelewi mpaka kamusi? Click to expand... Kuvua ninakojua mimi ni samaki na nguo tu
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 14,926 Reaction score 20,974 Feb 28, 2025 #6 Al-mukheef said: Kuvua ninakojua mimi ni samaki na nguo tu Click to expand... Elekeza kwenye kukuvua nguo mtaani, anakuvua kwa kutumia nini.
Al-mukheef said: Kuvua ninakojua mimi ni samaki na nguo tu Click to expand... Elekeza kwenye kukuvua nguo mtaani, anakuvua kwa kutumia nini.
Al-mukheef JF-Expert Member Joined Feb 2, 2025 Posts 6,991 Reaction score 7,245 Feb 28, 2025 #7 Sakasaka Mao said: Elekeza kwenye kukuvua nguo mtaani, anakuvua kwa kutumia nini. Click to expand... Hata sijui unavuliwaje labda useme mwenyewe
Sakasaka Mao said: Elekeza kwenye kukuvua nguo mtaani, anakuvua kwa kutumia nini. Click to expand... Hata sijui unavuliwaje labda useme mwenyewe
Ngurukia JF-Expert Member Joined Feb 25, 2023 Posts 5,927 Reaction score 22,192 Feb 28, 2025 #8 tatizo lako unachungulia sana pesa yako. Haya nipe Mil 9, nakuachia milioni 1 ukapige mkono mmoja rangi. Chuma haimjui fundi, full ac. Kitu cha mfaransa hicho, utaendesha wewe mpaka wajukuu.
tatizo lako unachungulia sana pesa yako. Haya nipe Mil 9, nakuachia milioni 1 ukapige mkono mmoja rangi. Chuma haimjui fundi, full ac. Kitu cha mfaransa hicho, utaendesha wewe mpaka wajukuu.
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,195 Reaction score 10,821 Feb 28, 2025 #9 Ngurukia said: View attachment 3253120 tatizo lako unachungulia sana pesa yako. Haya nipe Mil 9, nakuachia milioni 1 ukapige mkono mmoja rangi. Chuma haimjui fundi, full ac. Kitu cha mfaransa hicho, utaendesha wewe mpaka wajukuu. Click to expand... Haaaaaa
Ngurukia said: View attachment 3253120 tatizo lako unachungulia sana pesa yako. Haya nipe Mil 9, nakuachia milioni 1 ukapige mkono mmoja rangi. Chuma haimjui fundi, full ac. Kitu cha mfaransa hicho, utaendesha wewe mpaka wajukuu. Click to expand... Haaaaaa
MIXOLOGIST JF-Expert Member Joined Mar 1, 2016 Posts 14,727 Reaction score 37,029 Feb 28, 2025 #10 Gari ya mkononi uwe fundi au uwe na garage
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 14,926 Reaction score 20,974 Feb 28, 2025 #11 Al-mukheef said: Hata sijui unavuliwaje labda useme mwenyewe Click to expand... Eti'eeh, bas'sawaah.
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 14,138 Reaction score 33,532 Feb 28, 2025 #12 zipumbovu said: Habari wakuu Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10 Aina ya gari Nissan dualis Rumion Crown Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara Click to expand... Lipo na kupa na fundi bure hakikisha unakuwepo naye kwenye matembezi yako na misele mpaka utakapoliuza
zipumbovu said: Habari wakuu Nahitaji gari ya mkononi kwa bajet ya mil 10 Aina ya gari Nissan dualis Rumion Crown Kama unayo Moja katika hizo basi naomba weka namba yako nikupigie chap tufanye biashara Click to expand... Lipo na kupa na fundi bure hakikisha unakuwepo naye kwenye matembezi yako na misele mpaka utakapoliuza
Al-mukheef JF-Expert Member Joined Feb 2, 2025 Posts 6,991 Reaction score 7,245 Feb 28, 2025 #13 Sakasaka Mao said: Eti'eeh, bas'sawaah. Click to expand... Poa bro
Waka Waka JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 1,341 Reaction score 2,112 Mar 6, 2025 #14 All the best Oh okay sawa