Nahitaji gari ya Mil 5.5 mpaka 6.5

IST hyo mil 6
 

Attachments

  • IMG_20171107_062754_085.jpg
    42 KB · Views: 55
Pandisha dau ununue gari nzur..au nenda kaagize b4ward..ila andaa na hela ya ushuru
 
Nahitaji gari ya Mil 5 mpaka 6

Ningependa Engine size iwe zaidi ya CC 1500 (Yaani 1500 kuPanda juu)
Yenye uwezo wa Kwenda safari ndefu.

Sihitaji Dalali.

Toyota: High Priority

Mwenye nayo ani PM.
Ipo spacio old model haijaguswa engine unakuja namafundi 70 haijapigwa rangi mpaka china inafika
 
Nina Carina S.I kwenye 6.5 iwe 6.8 number C
Iko poa haina shida yoyote unaweza kuja hata namafundi kumi kuangalia machine vibali vyote viko sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…