Nahitaji gari ya kukodisha Dar

mamaur

Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
75
Reaction score
42
Habari wandungu....nihjtaji kukodi gari kwa matumizi ya siku mbili dar es salaam. Kagari kadogo saloon car kama ist au mark 2 grande itafaa. Mwenye kutoa huduma hiyo please inbox me.
 
Habari wandungu....nihjtaji kukodi gari kwa matumizi ya siku mbili dar es salaam. Kagari kadogo saloon car kama ist au mark 2 grande itafaa. Mwenye kutoa huduma hiyo please inbox me.
Tafuta Uber mmoja hlf muelewane.
 
Tafauta uber au Taxify... au nenda uka rent a car kwa utaratibu...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…