Nahitaji gari ya kukodi,

Nahitaji gari ya kukodi,

Billcash

Member
Joined
Nov 4, 2016
Posts
86
Reaction score
44
Nahitaji gari ya kukodi tarehe 7 mwezi wa nne kuanzia saa 5 asubuhi hadi saa 6 usiku kwa ajili ya harusi, Aina za gari ninayohitaji ni Prado au range. Bajeti 250000.
 
Si uchukue tu passo kuhangaika kote huko kwa nini..afu mnaenda kushindia mihogo isitoshe pesa zenyewe za michango
 
Back
Top Bottom