Nahitaji gari ya 6 mil.

Sista Sophia

Member
Joined
Feb 6, 2010
Posts
50
Reaction score
26
Wanajf natafuta gari ya milioni 6. Isizidi cc 1600.
Iwe imelipiwa kila kitu, nikinunua ni kuanza kuendesha.

Hii gari inahitajika haraka iwezekanavyo.
 
Toyota starlet nichek hapa 0718600001. Serious buyer
From japan iko showroom kndon
 
Hiyo starlet unauzaje? Picha kidogo tuone

Sent from my iPhone 4S using JamiiForums app
 
na kama unahitaji gari la family size Nina ipsum ila cc 1990 la mwaka 1999 iko vizuri sana.mil 6.7 nimelitumia mwanamke so halijapiga misele mingi.
 
Hilo ni old model?
 
Wanajf natafuta gari ya milioni 6. Isizidi cc 1600.
Iwe imelipiwa kila kitu, nikinunua ni Hii gari inahitajika haraka iwezekanavyo.

Kuna Toyota premio na kuna toyota nadia kwa mil 7. 0755815174
 
Ndugu agizia passo yko tu ya 2005 na mpk change za rada utapata kwny hyo hela
 
Wanajf natafuta gari ya milioni 6. Isizidi cc 1600.
Iwe imelipiwa kila kitu, nikinunua ni kuanza kuendesha.

Hii gari inahitajika haraka iwezekanavyo.

Nina starlet nichek kwa namba. 0714620133
 
Wanajf natafuta gari ya milioni 6. Isizidi cc 1600.
Iwe imelipiwa kila kitu, nikinunua ni kuanza kuendesha.

Hii gari inahitajika haraka iwezekanavyo.

Ipo starlet milioni5
Check me 0752953860
 
Attachments

  • 1400824082567.jpg
    96.8 KB · Views: 209
  • 1400824144270.jpg
    63 KB · Views: 185
na kama unahitaji gari la family size Nina ipsum ila cc 1990 la mwaka 1999 iko vizuri sana.mil 6.7 nimelitumia mwanamke so halijapiga misele mingi.

Kuna Toyota premio na kuna toyota nadia kwa mil 7. 0755815174

Hivi ninyi mmelewa mahitaji ya huyo mtafutaji? Mmesoma vizuri tangazo?
 
Hii ni tabia yetu watanzania, ukimuuliza swali lazima akujibu kwa kuuliza swali jingine!
-hivyo usishangae
 
Premio ya mwaka 1998...0755815174
 
Attachments

  • altAg1Tt3On-C44NyBtROUcfQBzZpAkOyCc3w2igl6ClNxu.jpg
    40 KB · Views: 108
  • altAouyG3XZxwMo9boYT9Wk4yNltA8BSfNY7d56624C-qZe.jpg
    65.4 KB · Views: 113
  • altAo-ZXgTO-AWfedZri77l3il7oh9Vd8wkF6hKrscYN-gD.jpg
    59.3 KB · Views: 114
  • altAmBPeSwLoP7wqEaDH_MXRv-vrBmHS8-ySOF2DKuOW8K8.jpg
    48.9 KB · Views: 116
Wanajf natafuta gari ya milioni 6. Isizidi cc 1600.
Iwe imelipiwa kila kitu, nikinunua ni kuanza kuendesha.

Hii gari inahitajika haraka iwezekanavyo.

Kuna hiyo Nadia tunaweza kuzungumza PIA...
 
Attachments

  • 2014-05-01 17.57.29.jpg
    169 KB · Views: 105
  • 2014-05-01 17.57.02.jpg
    144.4 KB · Views: 103
  • 2014-05-01 18.04.04.jpg
    107 KB · Views: 99

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…