big dreamer
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 401
- 1,089
Iwe namba 'd'
Mwenye nayo anidm pesa mfuko wa shati iwe dar es salaam tu
Mwenye nayo anidm pesa mfuko wa shati iwe dar es salaam tu
Mbona unalia mkuu
Dah acha tu mkuu nawaza hivi nyinyi mnapataje pesa na sisi kutwa tunapambana lakin ramani hazisomeki yaan na siku zinazidi kwenda tu ama kweli kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yakeMbona unalia mkuu
Ipo kali sana number DNIwe namba 'd'
Mwenye nayo anidm pesa mfuko wa shati iwe dar es salaam tu
ungeweka offer yako ili ajipimeIpo kali sana number DN
offer yako ipo chini kwa alfard
Inatakiwa ngapi mkuuIpo kali sana number DN
offer yako ipo chini kwa alfard
Ni Kweli mkuu,, usikute kuna mwingne atamfuta dmungeweka offer yako ili ajipime
Kawaida mkuu wakati wako utafika tu Mwenyezi MUNGU ugawa kwa foleni,,zamu yako itafika tuDah acha tu mkuu nawaza hivi nyinyi mnapataje pesa na sisi kutwa tunapambana lakin ramani hazisomeki yaan na siku zinazidi kwenda tu ama kweli kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake
13.5mInatakiwa ngapi mkuu
Sawa mkuu,, ningekuchek ila budget haijafikia huko13.5m
Ukihitaji picha nitext WhatsApp nikutumie
Kuapload naona zina fail..
WhatsApp namba 0656 387577
utaiweza kwa mafuta wakati fedha yenyewe ni ya kuhesabu senti?Iwe namba 'd'
Mwenye nayo anidm pesa mfuko wa shati iwe dar es salaam tu
13.5m
Ukihitaji picha nitext WhatsApp nikutumie
Kuapload naona zina fail..
WhatsApp namba 0656 387577
Ameen tunaishi kwa kuamini kesho itakua bora zaidi ya janaKawaida mkuu wakati wako utafika tu Mwenyezi MUNGU ugawa kwa foleni,,zamu yako itafika tu
Labda ya KUKODI sio kununuaIwe namba 'd'
Mwenye nayo anidm pesa mfuko wa shati iwe dar es salaam tu
Hii kwasababu rangi ni mpya naongeza dau mil. 15View attachment 2521289
HII HAPA MKUU