Nahitaji gari suzuki carry 4wd

Nahitaji gari suzuki carry 4wd

ELIASANTE

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
330
Reaction score
67
Nahitaji gari suzuki carry 4wd,manual.
Uwezo,tone moja.

Mawasiliano

0784413039
 
Nauza Kiwanja Kivule njia panda ya shule bei 7m nichek hapa 0779 545500 mwenye Kiwanja no dalali
 
Nahitaji gari suzuki carry 4wd,manual.
Uwezo,tone moja.

Mawasiliano

0784413039

Unayotaka ni Ipi Uzao wa Tisa au wa Kumi

Suzuki Carry
1991-1999 Ninth Generation
650-720Kg

1999- 2005 Tenth Generation
930kg less than a Tone
 
Hakuna Carry tani Moja.
Tani moja ni Lite Ace au Town Ace pick up.(Zinapiga hadi 14m)

Ninazo zote na ndio ilivyo kwenye Biashara zangu na ndivyo zilivyo.
Tofauti na hapo kwamba Carry tani moja basi anaibiwa mtu,hakuna uzawa wa Suzuki Carry Tani moja
 
Ndiyo kwanza nasikia leo; SUZUKI CARRY tani moja?!??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom