Nahitaji gari Raum,Spacio au IST

Nahitaji gari Raum,Spacio au IST

nyamkuta

Senior Member
Joined
Mar 17, 2017
Posts
126
Reaction score
96
Wakuu Salaam.
Nahitaji gari tajwa hapo juu,namba D au C.,Mileage isizidi 100000km,kutoka kwa mwenye mali. Budget kwa sasa ni 6.5 M.

Njoo PM tuseme vizuri
 
duh kwa hiyo budget angalia usije uziwa halfcut au ya zanzibar fanya utafiti kwanza kabla ya kutafuta kitu .
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Wakuu Salaam.
Nahitaji gari tajwa hapo juu,namba D au C.,Mileage isizidi 100000km,kutoka kwa mwenye mali. Budget kwa sasa ni 6.5 M.

Njoo PM tuseme vizuri
a023abc7a3844a7192bce44fdfaf63be.jpg
 
Kuna jamaa yangu Ana ist namba d ,Rangi nyeusi,Milage 64000,ya mwaka 2004 anaiuza 8.5...ni Rangi nyeusi gari imenyokaa
Kama uko serious ni pm nkutumie namba ya mmiliki ukaione

OvA
 
Wakuu Salaam.
Nahitaji gari tajwa hapo juu,namba D au C.,Mileage isizidi 100000km,kutoka kwa mwenye mali. Budget kwa sasa ni 6.5 M.

Njoo PM tuseme vizuri
kwa bei hii utapigwa tu mkuu ongeza ongeza ifike 8.5 utapata gari nzuri
 
Kuna jamaa yangu Ana ist namba d ,Rangi nyeusi,Milage 64000,ya mwaka 2004 anaiuza 8.5...ni Rangi nyeusi gari imenyokaa
Kama uko serious ni pm nkutumie namba ya mmiliki ukaione

OvA
Kama 7 naweza jikamua but 8.5 sijafika mkuu
 
Wakuu Salaam.
Nahitaji gari tajwa hapo juu,namba D au C.,Mileage isizidi 100000km,kutoka kwa mwenye mali. Budget kwa sasa ni 6.5 M.

Njoo PM tuseme vizuri
Kati ya hizo Gari huwezi pata kwa bei hiyo ukipata itakuwa na matatizo makubwa
 
Only in Tanzania where people buys vehicles on basis of registration number.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom