MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,824
- 4,385
HATA PASSO KAMA IKO VIZURIPASSO itakufaa?
UMilion 3 au
UNA GARI GANI, NJOO INBOXZipo nyingi tu mkuu, kazi kwako
HAPANA BOSS NI 3M MWISHO, I AM SERIOUS BUYER.Unafika 3.8m??
Ni number c (good conditions)
Sina gari mkuu, wadau wanakujaUNA GARI GANI, NJOO INBOX
POA CHAKI ASANTE KWA KUNIPA MOYO, NA MIMI XMAS NIWE NA NDINGA HATA KAMA NI PASSO NAMBA A..KIKUBWA NITEMBELEE MAKALIO.Sina gari mkuu, wadau wanakuja
WAKUU HABARI ZENU NAHITAJI GARI YOYOTE NDOGO KWA 3M..SIANGALII NAMBA WALA NINI, NAANGALIA UBORA WA BODY NA INJINI TU. HATA KAMA NI NAMMBA A NITAFUTE...CC IANZIE 650 HADI 1300, SUZUKI KEI, SUZUKI SWIFT, VITZ N.
Pitia link hiyo hapo kupatana (nimekusetia kwa mujibu wa bajeti yako), cheki page ya 1 hadi ya 10 utapata zaidi ya gari 10 zilizo ndani ya bajeti yako na hata chini ya bajeti yako. Kumbuka kufata taratibu zote za manunuzi ikiwemo fundi kukagua gari. Kila la heri!WAKUU HABARI ZENU NAHITAJI GARI YOYOTE NDOGO KWA 3M..SIANGALII NAMBA WALA NINI, NAANGALIA UBORA WA BODY NA INJINI TU. HATA KAMA NI NAMMBA A NITAFUTE...CC IANZIE 650 HADI 1300, SUZUKI KEI, SUZUKI SWIFT, VITZ N.
Check with meWAKUU HABARI ZENU NAHITAJI GARI YOYOTE NDOGO KWA 3M..SIANGALII NAMBA WALA NINI, NAANGALIA UBORA WA BODY NA INJINI TU. HATA KAMA NI NAMMBA A NITAFUTE...CC IANZIE 650 HADI 1300, SUZUKI KEI, SUZUKI SWIFT, VITZ N.
THANK YOUPitia link hiyo hapo kupatana (nimekusetia kwa mujibu wa bajeti yako), cheki page ya 1 hadi ya 10 utapata zaidi ya gari 10 zilizo ndani ya bajeti yako na hata chini ya bajeti yako. Kumbuka kufata taratibu zote za manunuzi ikiwemo fundi kukagua gari. Kila la heri!
Used Cars for Sale in Tanzania
Nakutahadharisha usinunue hayo magari yanayoitwa ya mnada wa bandari kupatana. Utatapeliwa muda si mudaPitia link hiyo hapo kupatana (nimekusetia kwa mujibu wa bajeti yako), cheki page ya 1 hadi ya 10 utapata zaidi ya gari 10 zilizo ndani ya bajeti yako na hata chini ya bajeti yako. Kumbuka kufata taratibu zote za manunuzi ikiwemo fundi kukagua gari. Kila la heri!
Used Cars for Sale in Tanzania