BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,249
Are you serious???
Mil 4 gx100 mpya?? Ukipata nitonye na mimi
Sijasema mpya au hujaelewa.
Kama hujaelewa sio lazima utoe wazo lako.
Thread zingine muwe mnapita tu sio kila kitu unataka uchangie.
Weka mbali na watoto.
Ela yako mbuzi alafu mashariti kibao kama mganga wa kienyeji!
Mpwa nakushauri kwa hio pesa yako upate Duet au ingia Zoom Tanzania, Tupatane.com na wengine.
Wasiwasi wangu ni kwamba atakayekuuzia hio gari muombe na namba za mafundi! Ongeza kidogo hio pesa utafute Passo kwa 6m utapata hadi namba D hutasumbuka sana. Naongea kama Rafiki
Nakushauri nunua PASSO kwa bajeti yako unapata mpya na chenji kibao inabaki. Ila epuka kukanyaga kinyesi cha ng'ombe. utakaa!
Nakushauri nunua PASSO kwa bajeti yako unapata mpya na chenji kibao inabaki. Ila epuka kukanyaga kinyesi cha ng'ombe. utakaa!
Habari wakuu,
Nahitaji gari aina ya mark ii grande(gx 100) iwe nzuri rangi original sio ya kupaka uswahilini na iwe haijawai kupata ajali na isiwe na mchubuko wowote.Au kama kuna aina nyingine nzuri mwenye nayo anishtue.
Kampeni njema