Samahani waungwana, nahitaji ist no d iwe haijarudiwa rangi, iwe kwenye hali nzuri kabisa na isiwe na shida yoyote. Offer yangu ni 8.5m napatikana dar.

Kuna uzoefu kwamba gari lililorudiwa rangi lina historia ya kupata ajali likanyooshwa "bodi" hivyo halifai.
Kuna uzoefu pia kuwa muuzaji anayerudia rangi ili avutie wateja basi atalipeleka garage za uswahilini zinapaka rangi bei chee isiyo na kiwango hivyo kidogo tu linafubaa.