Nahitaji gari dogo ya kutembelea

Nahitaji gari dogo ya kutembelea

chichimizi

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2015
Posts
1,074
Reaction score
339
Wanajamvi habari nahitaji gari dogo ya kutembelea BAJETI YANGU NI ML3 hadi 4 iwe na documents zote na isiwe inadaiwa motor vehicle

0759007829 whatsapp
(Sitaki Passo )
 
ndugu hiyo pesa yako ni ya gari jamii ya paso, ulitakiwa kusema unataka gari gani kama ulivyosema autaki paso. ila ndugo hiyo pesa usipokuwa makini utauziwa makolokocho ni bora uongeze upate gari nzur
 
In the top of day, ivi nikiwa na 5mils naweza pata gari dogo under 1000cc, nipo central zone
 
ndugu hiyo pesa yako ni ya gari jamii ya paso, ulitakiwa kusema unataka gari gani kama ulivyosema autaki paso. ila ndugo hiyo pesa usipokuwa makini utauziwa makolokocho ni bora uongeze upate gari nzur
Ukianzia hapo kwenye ml 4 iongezwe ngapi ili ipatikana gari ndogo ukiondoa passo
 
mkuu nauza gari yangu mitsubish flan hivi amaizing ina hali nzuli nipo tanga mil 3
 
Hivi Paso ina matatizo gani, mbona kana mwonekano mzuri tu.
 
Wanajamvi habari nahitaji gari dogo ya kutembelea BAJETI YANGU NI ML3 hadi 4 iwe na documents zote na isiwe inadaiwa motor vehicle

0759007829 whatsapp
(Sitaki Passo )
Kuna cardina iko powa.. m.3.5 npo ubungo riverside 0654314066
 
duuh mwl wa nanjilinji ktk ubora wake! hongera kwa kuwapa hamasa walimu wengine, lkn kwa hyo pesa uwe makini mana misele yko yote itakuwa garage
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom