Mr. PriceKing Two
JF-Expert Member
- Feb 4, 2014
- 235
- 45
Kuna jamaa namfahamu sna deal na magari, unalipa 50% anakuagizia halafu unalipa iliyobaki kwa mwaka mmoja au miwili, if interest PM. Sijajua price mpaka niulize.
Nnayo vits, angalia nimepost juzi. Nauza mil 5.5. Ipo ktk hali nzuri sana. Namba zake ni CEC. Kama upo dar njoo uione leo.
Lukansola yako kali mkuu,
Nakushauri mkuu mwenye kutaka gari hembu ione ya huyu Malika,hope itakuwa bado ipo vizuri maana ni Mdada,na madada wanatunza sana magari.
Believe me!
Iwe katika hari nzuri kwa Bajeti ya raha. 6,400,000 top. Ikiwa C....safi zaidi.
PM me....soon will reply
Kama bado hujapata ninayo vitz imeingia wiki 3 zilizopita namba yake DAB.
Call on 0767659145
inauzwa bei gani ni pm
Iwe katika hari nzuri kwa Bajeti ya raha. 6,400,000 top. Ikiwa C....safi zaidi.
PM me....soon will reply
Ushapata hilo gari