Nahitaji gari aina ya Vitz

Nahitaji gari aina ya Vitz

estlyjonathan

Member
Joined
May 26, 2016
Posts
84
Reaction score
122
Habari zenu, natafuta gari ndogo aina ya Vitz au Duet namba B ela niliyokuwa nayo kuanzia Milioni 3 kwa ambaye analo ajitokeze na gari iwe kwenye hali nzuri.
 
watafute renyo, ovi au master of the game nina imani watakuwa msaada mkubwa kwako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom