Nahitaji gari aina ya RAV4

Nahitaji gari aina ya RAV4

lift gharama

Senior Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
107
Reaction score
66
Mi ni mtumishi niko mikoani nahitaji gar aina RAV4. Ninamaanisha jamani mwanaJF. Aliyenayo au mwenye taarifa anijuze tufanye biashara. Make isiwe chini ya 2005.
 
Mkuu, bajeti yako ni shilingi ngapi? Uko mkoa gani? Ninayo Rav 4 T 515 CUX,ipo katika hali nzuri kabisa, tuwasiliane.

0783308062
 
Mkuu unataka Rav4 model gani?
Taja specification unayotaka ya hiyo gari?
Gari zipo
Karibu
 
Ninayo rav 4 sio ya zamani watoto wa mjini wanaiita kill time rangi ya bluu na #T ...BZP
 
Mi ni mtumishi niko mikoani nahitaji gar aina RAV4. Ninamaanisha jamani mwanaJF. Aliyenayo au mwenye taarifa anijuze tufanye biashara. Make isiwe chini ya 2005.

manual au auto?
 
Back
Top Bottom