huyu mleta mada atakuwa mhaya ndo zao kujisifia,,,nilienda kwenye msiba wa wahaya siku moja ilipofika kujitambulisha jamaa akasema "nanafanya kazi hospitalini nadeal na watu ambao madaktari bingwa wameshindwa kuwatibu" ,,yaani kwa lugha rahisi anafanya kazi MORTUARY