Nahitaji gari ya aina ya Noah ambayo ni used hapa nchini. Iwe na sifa hzi
* Iwe katka hali nzuri ndani ya gari, kwenye injin na gear box. aidi.
Nina utalaamu na uzoefu wa kutosha ano zaidi. na nje iwe na muonekano mzuri.
* Iwe haijwahi kupata ajali.
* sitaki dalali
* Isiwe na mgogoro na mtu au kikundi cha watu au serikali
* Iwe na vibali halali vya umiliki na hati za malipo au kodi anuai.
Mawasiliano zaidi 0765075183
Asante