Official jr
Member
- Feb 27, 2017
- 81
- 87
DSM UbungoUko wapi?
Yaani kwa uwezo wa hiyo pc yako then upewe pc yenye uwezo mara mbili hadi tatu ya hiyo pc yako?Mwenye Gaming CPU aje tufanye exchange na Laptop
Dell Latitude E6220
Core i5 2nd Gen
Processor 2.50 GHz (4 CPUs)
Ram 4GB
HDD 210
No Battery
Nahitaji CPU yenye Kusukuma Games hizi
Fifa 18
Fifa 19
GTA V
COD
Watchdogs
Far Cry
NFS Payback
Call/Text 0679029498 - 0762397544
View attachment 1088677View attachment 1088678
Its ok chief...Yaani kwa uwezo wa hiyo pc yako then upewe pc yenye uwezo mara mbili hadi tatu ya hiyo pc yako?
Hauko sirias
Its ok chief...
Imekaa poaunaota wewe, utoe bajaji upewe kosta kweli ?
ila kupata gaming pc ni vizuri ufanye modding(tuning)
una assemble ya kwako
unanunua RAM kivyake, motherboard kivyake, processor kivyake, video card, SSD, housing
then unaunga kwa pamoja
Weka mkono kifuani jipige pige huku ukisema Roho ya Uchawi shindwani sawa na kuuza kibajai upate coaster
HahahahahahahahahahaaaaaWeka mkono kifuani jipige pige huku ukisema Roho ya Uchawi shindwa
π π π π πWeka mkono kifuani jipige pige huku ukisema Roho ya Uchawi shindwa
Weka mkono kifuani jipige pige huku ukisema Roho ya Uchawi shindwa
Weka mkono kifuani jipige pige huku ukisema Roho ya Uchawi shindwa
Burudan brother, sio mbaya tukifurahiyou funny bro.
Burudan brother, sio mbaya tukifurahi
Yeah Bro, Mambo yanakwendayeah kuchangamsha genge sio vibaya. i hope wamekuja inbox. all the best