Wewe unahitaji utengenezewe au uangaliziwe? Ushauri ni beba peleka kwa fundi aifungue na aikague kisha aukujulishe kama inafaa kupona au la na gharama atakwambia.
Umenikumbusha fundi Sabufa mmoja alikula hela week nzima radio haijarekebishika mpaka kuna muhuni mmoja akaja kuirekebisha tena ndani ya lisaa limoja tu, kuanzia hapo fundi akaonekana tapeli

Kazi za nyumbani ni ngumu kidogo labda tu za kufua nk. Lakini sio ya kutengeneza vifaa vya electronics maana kichwa ikiwaka moto huwa tunaachana na hicho kifaa hata siku mbili ya tatu ndo unagundua shida ilikuwa wapi.