Arone Ramsey
Senior Member
- Nov 5, 2021
- 170
- 293
Yaaani tangu ninue dish la Dstv haipiti miezi mitatu chanel zinakata kata natafuta fundi anagusa gusa akiondoka ikikaa baada ya mda linazingua tena!!
sasa nimechoka kutoa hela kila siku nimeliacha lina kama mwezi natafuta fundi muaminifu atakaeweza ku reset vizuri niko Dar Temeke
Uzi tayari
sasa nimechoka kutoa hela kila siku nimeliacha lina kama mwezi natafuta fundi muaminifu atakaeweza ku reset vizuri niko Dar Temeke
Uzi tayari