kitigiria Senior Member Joined Apr 28, 2014 Posts 149 Reaction score 41 Jan 27, 2015 #1 Mwenye nalo please ni pm, ni kwa ajili ya biashara liwe katika hali nzur na milango ya kioo
Barelawyer Senior Member Joined Oct 11, 2012 Posts 197 Reaction score 71 Jan 28, 2015 #2 whatsapp nikuwekee picha zake 0783547184
Fundisi Muhapa JF-Expert Member Joined Nov 25, 2013 Posts 4,422 Reaction score 2,115 Jan 28, 2015 #3 Usinunue vyombo ya umeme used. Ni pasua kichwa
BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,258 Jan 28, 2015 #4 kitigiria said: Mwenye nalo please ni pm, ni kwa ajili ya biashara liwe katika hali nzur na milango ya kioo Click to expand... Mkuu fridge ni zaidi ya picha na milango ya kioo, utapoteza pesa, km upo Dar nenda kwa wale jamaa wapo Magomeni Mapima karibu na Barclays bank ufanye wide selection. Kuwa makini unless utapoteza pesa yako
kitigiria said: Mwenye nalo please ni pm, ni kwa ajili ya biashara liwe katika hali nzur na milango ya kioo Click to expand... Mkuu fridge ni zaidi ya picha na milango ya kioo, utapoteza pesa, km upo Dar nenda kwa wale jamaa wapo Magomeni Mapima karibu na Barclays bank ufanye wide selection. Kuwa makini unless utapoteza pesa yako
Mwanawalwa JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 1,014 Reaction score 302 Jan 28, 2015 #5 double door ya samsung ? ama brand gani unataka