Saharavoice JF-Expert Member Joined Aug 30, 2007 Posts 4,058 Reaction score 2,637 Apr 16, 2013 #1 Wakuu, nahitaji fremu ya biashara maeneo ya Tegeta au njia panda ya Wazo. Si lazima chumba kiwe kikubwa sana lakini pia kisiwe kidogo sana. Sehemu isiwe imejificha.
Wakuu, nahitaji fremu ya biashara maeneo ya Tegeta au njia panda ya Wazo. Si lazima chumba kiwe kikubwa sana lakini pia kisiwe kidogo sana. Sehemu isiwe imejificha.