Kwa mikoa hiyo sidhani ,ila Iringa nenda shamba la ASAS lipo jirani na mjini kama km 20 hivi ,kwa arusha nenda USA river kuna shamba ila huwa ghali sana mmoja anarange 7-15 milion ,na kuwalea ni kazi sana wanaofuga mara nyingi huwa ni kwa ufahari tu sio biashara