Za asubuhi ndugu zangu.
husika na kichwa cha habari hapo juu. Natafuta Engine ya Gari aina ya TOYOTA DUET
Model Number Ya Gari -M100A
Engine No. -EJEAA2109
PISTON 3
NAOMBENI kama kuna mtu anauza au anajua muhusika anaye uza hizo Engine naomba uni PM
N:B naomba engine iwe haija chakachuliwa nataka iliyo katika ubora.
nitafurahi kama itapatika mpya kama ni mtumba basi iwe kwenye ubora wake.
[HASHTAG]#ASANTENI[/HASHTAG]