Kinahitajika kiwanja maeneo ya kinyerezi majumba sita au Tabata kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa kanisa ukubwa ni 25 mita kwa 25 mita njoo na ofa yako kiwanja kiwe karibu na bara bara mita 2 kutoka barabarani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.