boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,404
OkayWakuu habari
Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata temporary passport leo hii ijumaa
Nimepata safari ya ghfla ya kwenda nchi jirani
Natanguliza shukrani
Unaweza nisaidia bossOkay
Mbona unapenda kusaidiwa bila kuchukua hatua? JF haitoi hiyo passport amka usingizini, chukua hatua.Unaweza nisaidia boss
Sawa bossMbona unapenda kusaidiwa bila kuchukua hatua? JF haitoi hiyo passport amka usingizini, chukua hatua.
Subiri nichukue hatua bossBei gani unayo? [emoji1787]
Uko wapi nioneWakuu habari,
Kwa yeyote anaeweza kunisaidia kupata temporary passport leo hii ijumaa.
Nimepata safari ya ghfla ya kwenda nchi jirani
Natanguliza shukrani
.Subiri nichukue hatua boss
Hii ndiyo njia sahihi.Nilipata ndani ya masaa 6. Nenda kwenye ofisi ya Uhamiaji iliyokaribu na wewe. Ongea nao vizuri.
1. Nenda kwa Mtendaji, akuandikie barua ya utambulisho.
2. Nenda kwa mpiga picha, piga picha za passport na uwe nazo walau nne
3. Fika ofisi za uhamiaji karibu nawe. Eleza sababu za safari yako. Jaza form maalum.
4. Pata control number, lipia 20,000.
5. Pata passport yako
Chomoka. Kila la kheri..
Kama hakuna foleni, ndani ya lisaa limoja umeshapata.
Nilishawahi patumia hapo kwa ishu kama hii. Ni njia rahisi pia.Ukiwa Dar tulia kunywa maji ingia online jaza fomu timiza vigezo Magufuli stand huduma ya temporary ipo masaa 24 imewekwa maalumu kusaidia wasafiri Kama wewe kupata passport za emergency tu fika uliza ofisi ya uhamiaji ipo wapi watakuonyesha ilipo ndani ya stand
Kama utakuwa umeshindwa kukimbizana na muda wa ofisi za Serikali saa Tisa ni hadi jumatatu Tena ndo zinafunguliwa.