God Matari
Member
- Aug 26, 2018
- 6
- 9
mbona kama vile haujui kile unachotaka mkuu?Habari zenu wakuu, naomba kufahamu juu ya matumizi ya solar za majumbani, hasa ukubwa na udogo.
Ninahitaji kufunga ila natamani kujua ni solar yenye ukubwa gani ambayo itanifaa, vitu vyakutumia umeme ni vya kawaida tu, je naweza kufunga solar ukubwa wa kiwango gani?
Vitu vya umeme vya kawaida kama vipi? Vitaje
Watakuja
mbona kama vile haujui kile unachotaka mkuu?
Kama unataka kweli kutumia solar na idumu, achana na friji na pasi, tumia tuu radio, tv na feni ya chini ya DC 12VFriji, pasi, tv , feni na radio
Kama unataka kweli kutumia solar na idumu, achana na friji na pasi, tumia tuu radio, tv na feni ya chini ya DC 12V
Pannel chukua watts 150
Battery chukua N100
Charger controler chukua ya 30A
Taa za ndani weka za watt 1
Kwa uzoefu wangu ukitumia inverter maisha ya battery yatakua mafupi sana.
Tumia vifaa vyote vya umeme wa DC
Vitaje hivyo vifaa na kiwango cha umeme kinachohitaji then usikilizie watu wakupigie hesabu. Itakuwa ni uoumbavu kusema unajua solar ya watt 300 Kumbe mahitaji yano kwa siku nzima ni wat 140.Habari zenu wakuu, naomba kufahamu juu ya matumizi ya solar za majumbani, hasa ukubwa na udogo.
Ninahitaji kufunga ila natamani kujua ni solar yenye ukubwa gani ambayo itanifaa, vitu vyakutumia umeme ni vya kawaida tu, je naweza kufunga solar ukubwa wa kiwango gani?
Wewe ni mtaalam wa solar au umekaririshwa? Kwa nini achukue tu 150watt? Kama ana uwezo wa kutumia hivyo vifaa kwa nini umzuie?Kama unataka kweli kutumia solar na idumu, achana na friji na pasi, tumia tuu radio, tv na feni ya chini ya DC 12V
Pannel chukua watts 150
Battery chukua N100
Charger controler chukua ya 30A
Taa za ndani weka za watt 1
Kwa uzoefu wangu ukitumia inverter maisha ya battery yatakua mafupi sana.
Tumia vifaa vyote vya umeme wa DC
Friji na Pasi utapasuka mfuko sheikh ,labda utafute Friji na pasi za DC na Friji uwe unaliwasha mchana tu ikifika saa 11 jioni unalizima ,pasi kupiga mchana tu.Friji, pasi, tv , feni na radio
Angalau wewe umemsaidia. Ila mpaka hapa ile 3.8 KWA haijaisha.Taa zinawaka kwa 12Hrs = 12*24 = 0.288KWA
TV utatumia labda 6hrs = 75W *12 = 0.9KWA
Decoder 10W utatumia nayo kwa 6hrs =10W * 6 = 0.06KWA
Hapo sasa ndio inatakiwa umuelekeze wewe, Mimi nimeishia hapo, muelekeze wewe mtaalamu wa umeme wa sola afanyaje usitake tubishaneWewe ni mtaalam wa solar au umekaririshwa? Kwa nini achukue tu 150watt? Kama ana uwezo wa kutumia hivyo vifaa kwa nini umzuie?
Nilisema hapo juu friji na pasi avitoe, Kuna jamaa likanivamia kuleta mdomo, sola nimetumia tangia 2015 nina uzoefu nazoFriji na Pasi utapasuka mfuko sheikh ,labda utafute Friji na pasi za DC na Friji uwe unaliwasha mchana tu ikifika saa 11 jioni unalizima ,pasi kupiga mchana tu.
Kama unataka kutumia Taa ,TV na Radio kwa experience yangu ili uenjoy funga Battery RITA 400N na Pannel 600Watts.
Utapata Total Power = 12V x 400Ah = 4.8Kwh ,Consumption 80% = 3.8KWA
Vifaa unavyoweza kutumia:-
1.TV LED - 75W
2.Taa 10 ,Taa za Nje 4 za 3W na 6 za ndani za 2W = Total 24W
3.Wifi Router = 10W
4.Kuchaji Laptop 60W
5.Decoder 10W
6.Radio 40W
Unyambulisho:-
Taa zinawaka kwa 12Hrs = 12*24 = 0.288KWA
TV utatumia labda 6hrs = 75W *12 = 0.9KWA
Decoder 10W utatumia nayo kwa 6hrs =10W * 6 = 0.06KWA
Tambua kwamba Solar inatumika zaidi usiku wakati jua hakuna hivyo 3.8KWA ndiyo power unliyokuwa nayo kuanzia jua linapozama mpaka linapokucha.
Kama ni mtumiaji wa TV sana means unaweza kuangalia vizuri hadi saa nane usiku na chaji isiishe.
Mchana unatumia direct kutoka kwenye pannel na si kwenye battery.
Kuna watu humu JF wanajua kuelezea hadi raha. Yaani hata kama hujasomea hiyo field unaelewa Mujarabu kabisa.Friji na Pasi utapasuka mfuko sheikh ,labda utafute Friji na pasi za DC na Friji uwe unaliwasha mchana tu ikifika saa 11 jioni unalizima ,pasi kupiga mchana tu.
Kama unataka kutumia Taa ,TV na Radio kwa experience yangu ili uenjoy funga Battery RITA 400N na Pannel 600Watts.
Utapata Total Power = 12V x 400Ah = 4.8Kwh ,Consumption 80% = 3.8KWA
Vifaa unavyoweza kutumia:-
1.TV LED - 75W
2.Taa 10 ,Taa za Nje 4 za 3W na 6 za ndani za 2W = Total 24W
3.Wifi Router = 10W
4.Kuchaji Laptop 60W
5.Decoder 10W
6.Radio 40W
Unyambulisho:-
Taa zinawaka kwa 12Hrs = 12*24 = 0.288KWA
TV utatumia labda 6hrs = 75W *12 = 0.9KWA
Decoder 10W utatumia nayo kwa 6hrs =10W * 6 = 0.06KWA
Tambua kwamba Solar inatumika zaidi usiku wakati jua hakuna hivyo 3.8KWA ndiyo power unliyokuwa nayo kuanzia jua linapozama mpaka linapokucha.
Kama ni mtumiaji wa TV sana means unaweza kuangalia vizuri hadi saa nane usiku na chaji isiishe.
Mchana unatumia direct kutoka kwenye pannel na si kwenye battery.
Safi sana engineerFriji na Pasi utapasuka mfuko sheikh ,labda utafute Friji na pasi za DC na Friji uwe unaliwasha mchana tu ikifika saa 11 jioni unalizima ,pasi kupiga mchana tu.
Kama unataka kutumia Taa ,TV na Radio kwa experience yangu ili uenjoy funga Battery RITA 400N na Pannel 600Watts.
Utapata Total Power = 12V x 400Ah = 4.8Kwh ,Consumption 80% = 3.8KWA
Vifaa unavyoweza kutumia:-
1.TV LED - 75W
2.Taa 10 ,Taa za Nje 4 za 3W na 6 za ndani za 2W = Total 24W
3.Wifi Router = 10W
4.Kuchaji Laptop 60W
5.Decoder 10W
6.Radio 40W
Unyambulisho:-
Taa zinawaka kwa 12Hrs = 12*24 = 0.288KWA
TV utatumia labda 6hrs = 75W *12 = 0.9KWA
Decoder 10W utatumia nayo kwa 6hrs =10W * 6 = 0.06KWA
Tambua kwamba Solar inatumika zaidi usiku wakati jua hakuna hivyo 3.8KWA ndiyo power unliyokuwa nayo kuanzia jua linapozama mpaka linapokucha.
Kama ni mtumiaji wa TV sana means unaweza kuangalia vizuri hadi saa nane usiku na chaji isiishe.
Mchana unatumia direct kutoka kwenye pannel na si kwenye battery.
Ni kweli mkuu 3.8KWA/h hajaimalizaAngalau wewe umemsaidia. Ila mpaka hapa ile 3.8 KWA haijaisha.
Ishi nayo hiiHabari zenu wakuu, naomba kufahamu juu ya matumizi ya solar za majumbani, hasa ukubwa na udogo.