Nahitaji elimu ya manunuzi mtandaoni

Ally Zaidi

Member
Apr 27, 2013
13
0
Naomba anaejua taratibu za kufanya manunuzi ya bidhaa mbalimbali kupitia mtandao (online) anijulishe.
 
Search humu thread za hayo mambo zipo nyingi. Anyway, kwanza unatakiwa kuwa na kadi ya benki ambayo imeunganishwa na VisaCard au MasterCard. Hizo hatua fuatilia benki watakusaidia. Baada ya hapo rudi nikujuze zaidi. Au umeshakamilisha la kadi ya benki?
 
Ninayo MasterCard ingawa sijawahi kuitumia
Fungua PayPal, add hio card yako numbers katika PayPal.
Make sure una make payment kwa PayPal ni safe
Kabla hujanunua hakikisha wanafanya delivery Tanzania au hapo ulipo, before ya kununuwa wasiliana na seller kuweza kujua shipping
 
Back
Top Bottom