Savior ruther
Member
- Oct 15, 2017
- 14
- 12
Wale wauzaji wa hizi mashine tafadhali mje chap mniuzie
Iwe mpyaa
Iwe mpyaa
Hizi ni pikipiki,zipo baiskeli za kuchaji na pikipiki za kuchaji we unataka nini
1,000,000/= hamchukui???Pikipiki za chaji 1200000 hadi 1400000 na baiskeli za kuchaji kuanzia laki 4