300k machinga complex, au tafuta core 2 quad ambayo inacompete na hata kuizidi i3 (1st, 2nd na 3rd gen) kwenye multicore. hizi za core 2 quad ni chini ya laki 2 ukitafuta
iwe i3 2100 3.1gh atleast
ila kama unataka kwa ajili ya games komaa upate i3 atleast 2nd generation sababu games single thread ni muhimu[/QUOT