KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 541
Natafuta dereva wa kuendesha Toyota Vitz new model, awe na uzoefu wa kazi hiyo, leseni class C1,2 au 3, awe mwaminifu, awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu na kitambulisho cha Taifa.
Mwenye uhitaji ani pm
Ungeeleza vizuri name Kwan kina mkataba unakuwajeNatafuta dereva wa kuendesha Toyota Vitz new model, awe na uzoefu wa kazi hiyo, leseni class C1,2 au 3, awe mwaminifu, awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu na kitambulisho cha Taifa.
Mwenye uhitaji ani pm
Kwahiyo wewe ndio umenyoosha maelezo hapo.Ungeeleza vizuri name Kwan kina mkataba unakuwaje
Yaani kigari chenyewe vitz afu eti dereva awe na class C...! Are you crazy??Natafuta dereva wa kuendesha Toyota Vitz new model, awe na uzoefu wa kazi hiyo, leseni class C1,2 au 3, awe mwaminifu, awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu na kitambulisho cha Taifa.
Mwenye uhitaji ani pm
Eliza Kwa kina mkataba WA Kazi unakuwajeUngeeleza vizuri name Kwan kina mkataba unakuwaje
Ni mpya gari mkuu??Natafuta dereva wa kuendesha Toyota Vitz new model, awe na uzoefu wa kazi hiyo, leseni class C1,2 au 3, awe mwaminifu, awe na mdhamini mwenye makazi ya kudumu na kitambulisho cha Taifa.
Mwenye uhitaji ani pm
Umeshakuwa wewe,maneno ya shombo ya nini?Yaani kigari chenyewe vitz afu eti dereva awe na class C...! Are you crazy??
Huyu jamaa ni mpuuzi, gari gani hiyo ya kuhitaji dereva wa basi...! MfyuuuUmeshakuwa wewe,maneno ya shombo ya nini?
Acha hizo aisee!!
Tuvumiliane tu!Huyu jamaa ni mpuuzi, gari gani hiyo ya kuhitaji dereva wa basi...! Mfyuuu
Soma vizuri, nimesema C1,2 au 3. Na sio C plain unayoitaja wewe. Magari madogo ya abiria lazima use na C1,2 au 2Yaani kigari chenyewe vitz afu eti dereva awe na class C...! Are you crazy??
We ndo umeonekana mpuuzi maana hata SMS hujasoma umendandia Gari mbeleHuyu jamaa ni mpuuzi, gari gani hiyo ya kuhitaji dereva wa basi...! Mfyuuu
Gari ya zamani imetengenezwa 2007 ila engine na gearbox mpyaNi mpya gari mkuu??
Marejesho ya kila wiki ukitaka mkataba mazungumzo yapoEliza Kwa kina mkataba WA Kazi unakuwaje
Hii gari unaitoa kwa mkataba maalumu au ndo zile fanya kazi ukichoka Nipe gari yangu?
Hebu fafanua kidogo mkuu.
Toa namba ya simu Tuongee biasharaMarejesho ya kila wiki ukitaka mkataba mazungumzo yapo
Big mind, empty mindYaani kigari chenyewe vitz afu eti dereva awe na class C...! Are you crazy??